Ukanda huru wa msongo wa mawazo unakupatia mapumziko kwenye bustani nzuri ya maua na miti, Chakula cha aina yoyote uipendayo kilichoondaliwa vema katika mazingira safi. Utapata pia buruduni murua ya muziki na vinywaji vile roho yako inapenda
MTAA WA AMANI
Phone Number: +255715128864
Website: Suggest Official Website
Categories: Lounge
Address: MNADANI-BONDENI (BARABARA YA MOSHI-ARUSHA), Same, Tanzania
GPS Coordinates: -4.06932,37.7397
Facebook: facebook.com/106866160983037
Instagram: Photos and Videos