Tembeanasi AUTO Garage, tunatoa huduma ya matengenezo ya magari aina zote, tunao mafundi wabobevu katika utengenezaji wa magari kwa kuzingatia muda, ubora na ufanisi. Tuna mashine za kisasa za ukaguzi wa magari.
Tembeanasi AUTO Garage
Phone Number: +255767584593
Website: chat.whatsapp.com..
Categories: Automotive Repair Shop
Address: Ituha, 255 Mbeya
GPS Coordinates: -8.90899,33.53937
Facebook: facebook.com/325100758171846
Instagram: Photos and Videos