Pangani FM Radio ni redio ya jamii, na kazi yake kubwa ni kuipa sauti jamii kwenye kuibuia changamoto za kijamii na kimaendeleo na kuyatafutia utatuzi. Radio hii ni sehemu ya shirika la UZIKWASA (LENYE KIREFU CHA UZIMA KWA SANAA ) la wilayani PANGANI
Pangani FM 107.7
Phone Number: +255272630033
Website: panganifm.uzikwasa.or.tz..
Categories: Radio station, News & media website
Address: Jamhuri Street, B.O.X 1 Pangani, Tanga, Tanzania
GPS Coordinates: -5.4237,38.97867
Facebook: facebook.com/765618943511923
Instagram: Photos and Videos