Click here to show the map

Mkugwa Girls' HIGH School

Page hii ni maalumu kwa ajili ya wanafunzi na waliowahi kuwa wanafunzi katika shule hii ya Mkugwa, pia wale wote wenye mapenzi mema na shule hii kwa lengo la kuinua Taaluma na Maendeleo ya shule kwa Ujumla

Mkugwa Girls' HIGH School

Phone Number: +255755357797

Website: Suggest Official Website

Categories: High School

Address: 121 Kibondo Kibondo, Kigoma, Tanzania

GPS Coordinates: -3.58639,30.7203

Facebook:

Instagram: Photos and Videos

✏️Suggest Information Update

📝 Submit Review ❔ Ask a Question 📍 Map

High Schools in Tanzania

🚩 Report this page

Questions about this place

Joining instructions?

by Anonymous  9 months ago

Joining instructions zipo tayari?

Submit your answer

join intraction 2023/2024?

by noreen  10 months ago

samahan wahusika tunaipataje hiyo form???

Submit your answer

Sasa Kama nyie tu hampo active wanafunzi wanafundishwa nini uko shuleni.?

by Dr Steven chogoro  10 months ago

Yaani mmefungua page kwaajil ya kutoa updates za shule na kutoa msaad kwa wahusika waliopo nje ya wilaya au mkoa, Ila sijaona apo aliepewa jibu. Toeni majibu hizo joining instructions zinapatikan wapi kwa watu walipo mikoani. Maan kwenye link ya shule hamjaweka. Acheni kufanya Mambo kwa mazoea.

Joining instruction zipi tayar??

by Anonymous  10 months ago

Naweza kupata joininginstruction

People answers:

Anonymous - 10 months ago

Nahitaji joining instruction za form five mwanangu amechaguliwa hapo

Submit your answer

Companies and places nearby

Nearby cities, towns and villages

Reviews by country